Joshua 12:8

8
In order to format the table contained in this verse correctly, it has been necessary to move the content of some adjacent verses into it.
,
bnchi ya vilima, shefela, upande wa magharibi, Araba, materemko ya milima, jangwa, na Negebu; nchi za Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi):

 9 cmfalme wa Yeriko mmoja
mfalme wa Ai (karibu na Betheli) mmoja
 10 dmfalme wa Yerusalemu mmoja
mfalme wa Hebroni mmoja
 11 emfalme wa Yarmuthi mmoja
mfalme wa Lakishi mmoja
 12 fmfalme wa Egloni mmoja
mfalme wa Gezeri mmoja
 13mfalme wa Debiri mmoja
mfalme wa Gederi mmoja
 14 gmfalme wa Horma mmoja
mfalme wa Aradi mmoja
 15 hmfalme wa Libna mmoja
mfalme wa Adulamu mmoja
 16 imfalme wa Makeda mmoja
mfalme wa Betheli mmoja
 17 jmfalme wa Tapua mmoja
mfalme wa Heferi mmoja
 18 kmfalme wa Afeki mmoja
mfalme wa Lasharoni mmoja
 19 lmfalme wa Madoni mmoja
mfalme wa Hazori mmoja
 20 mmfalme wa Shimron-Meroni mmoja
mfalme wa Akishafu mmoja
 21 nmfalme wa Taanaki mmoja
mfalme wa Megido mmoja
 22 omfalme wa Kedeshi mmoja
mfalme wa Yokneamu katika Karmeli mmoja
 23 pmfalme wa Dori (katika Nafoth-Dori)
Au: katika miinuko ya Nafoth-Dori.
mmoja
mfalme wa Goimu katika Gilgali mmoja
 24 rmfalme wa Tirsa mmoja

wafalme jumla yao ilikuwa thelathini na mmoja.

Copyright information for SwhNEN